MADAWA
455,301
Published 2022-08-04
All Comments (21)
-
East Africa hakuna joti. MASHAALLAH πππ₯³π₯³πkipaji kama kipaji,yaani hakuna kufosi
-
Kama naww umesikia mwamba akisema dan ger gonga like twende sawa joti mbavu zetu tafadhaliπ€£π€£
-
Team joti tujuane hapa,,nipeni like hata kumi leo cjachelewa saana
-
Escape Plan hatari sanaa... Polisi wamekula vumbi ππππ
-
Joti on. π₯π₯ utaira juu ya uchizi aisee nimecheka sana big up π ila tumemiss KIPANDE na SOPA πͺ
-
Joti udalali wa nyumba anauleta kwenye biashara haramu anafunguka tuπππππ€£
-
Nakutazama kutoka New Jersey πΊπΈ sasa hivi, uko na wafuasi wakenya π°πͺ wengi sana huku Joti. Lots of β€οΈ π. Mungu azidi kiwalinda na kuwatunza waigizaji wetu wote kwenye team yako
-
π€£π€£π€£π€£π€£yani mwanzo nilikuwa naichukulia poa sana ira mwishoni nimecheka kamafara kabisa Joti no1 comediantz
-
Asanteee Sana joti kwakuendelea kutufurahisha π€£π€£
-
John ngeke from KIBAHA naombeni like Kama tukopamoja na team joti
-
Daah nimecheka sana sana joti umejua kujiongeza sana
-
Kazi mandonga Amekubalika mpaka na Mzee joti mwenyewe πππ
-
Jamaa anakwambia Dangeli Yaan Danger...Nishai kajiongeza mwishoni πππ€£ Kapita Na mdundoo π€£π€£
-
Huyo aliesema danger danger ndo kamstua joti kwa ishara zao πππ
-
Nipeni like mwenzenu nimecheka hadi nimelia sio kwa ukilema huwo nishaiπππππ
-
WE MSENGE utaniua kwa kucheka. Kumanina nimecheka balaa. Sasa kile kipande cha kuona wenzako wamejibadili. Ukaona isiwe tabu, bora na wewe uligalambuwe tu!
-
Mwishoni nimecheka mpaka mbavu zimeumaππ
-
Mwamba huyu hapaπππ
-
Nimecheka kifala kwaiyo kule mwish ni mandondocha auπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
-
Shukran brother nimecheka sana huwa napenda ukiigiza kama NISHAI.