NIKI MINAJI

469,679
0
Published 2023-03-23
Wazazi muwafundishe watoto wenu adabu na heshimu wakikutana na wakubwaโ€ฆ
Malezi uanzia nyumbani

All Comments (21)
  • Best comedian ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™ŒRamadan kareem,accept with liking โค๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
  • Anunde mjinga sana huwa namkubali sana huyu mtu tz hakuna mchekeshaji kama joti...kama wamkubali gonga like mashabiki wangu
  • Baba unajua hadi unajua tena nimecheka peke yangu asubuhi hii.Hakuna wa kukufata wewe ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜˜๐Ÿ™
  • Naomba like zangu nimekuwa wakwanza kulukanayo. Tunao mkubali Jot tumpe like Zake ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
  • @nilla1657
    Zuu anapendeza kua mwanafunzi๐Ÿฅฐ
  • @noru9028
    Nani kafurahi kumuona zuuh n joti๐Ÿ˜‚โค
  • @numohd
    Mwalimu niki minaji๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  • Alafu joti huyu Zuuh usimuache anajua kuakti๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
  • Joti u will always be the best comedian in Republic of Tanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚salute u..
  • @AmCool_
    Huyu mwanamke akivaa hijab anakuwa mzuri sana mashallah
  • Mjomba ni mama shikamoo jotiโคโคโคโคโคโคโคโคโคโคโค๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚