ASKAR FEKI

449,752
0
Published 2024-02-15
Kwa uutafutaji huu wa kumchezea Simba shalubu vijana mtaingia mikononi mwa chombo cha sheria

All Comments (21)
  • @TALLUBOY
    NAWAONA MAKARAO FROM TANZANIA achana na wa kenya
  • Binafsi nimependa sana Nanga kufanya kaz na Joti maana kaongeza kitu muhimu sana.. hongeren sana
  • @ezekielngowa2988
    Nazifurahia sana kazi za joti kikosi kinazidi kukomaa pongezi saidi kutoka Kenya hapa
  • @simonjr7677
    Na mimi leo nipeni likes zangu from Chuga🔥
  • @mlewazitotv
    Mashabiki zetu wa joti TV tunawapenda Sana
  • @funnyworldtz
    Kama na wewe unaangalia ukiwa kwenye daladala alfajiri hii, gonga like chap 😊
  • Yaani me nikiwa naangalia jot naangalia waliopo akiwepo mlewa nafurahi nampenda sanaa mlewa
  • @mbogoidentity
    😂😂😂😂 sema mlewa kampiga Buti la kweli Mwanangu Fupi
  • @joely22
    Shida moja Bando langu linaish jaman kwaiyo nawasha dat na kusima 😢😢 like 👍 sangu please
  • Kz nzr joti sema Ina bidi muwe serious Sana askali gani ana Rasta hivyo Bora angekaa kanyinyi hapo inge pendeza vzr
  • Hii jot umetisha ndo Kali ya 2024 kwangu. Bandika sufuria unga unakuja😂😂😂😂 utaniua Jamaa wa 1982
  • Bwana joti , hii akili ni Yako au umeiba Toka kwa mungu " big up " , wako kassim Bakari Bindo from dar es salaam Tanzania kigamboni
  • @saidmasengo7988
    Wazee wa Kama unampenda jot/nishai gonga like hapa mpo wapi😂😂😂😂😂
  • @kekiplus1andonly
    Mama junior sasa 😂😂😂fuata maelekezo wifi acha ubishi😂😂😂😂