UTANI episode 01 #TINWHITE #RINGO #mkojanigang #ASHABOKO #mwene #COMEDYVIDEO#clamvevo
639,947
Published 2023-10-22
All Comments (21)
-
Napenda sana kazi yenu muki fanya pamoja muna ushirikiano mzuri MashaAllah hua muna fanya kitu chakueleweka ππππ I appreciate.
-
Napendaga hizi mtu 2 zikikutanaπππyani Ringo na Tiny whiteβ€
-
πππ Tin unapenda kumuonea Ringoπππ
-
UTANI sasa inakuja motoooo sana kikosi kazi hikoooo
-
Yaani Hawa ndo mabest comedian nnaowaelewa ndo maana spend wavunje urafikiβ€β€β€β€bila Tini hakuna lingo na bila lingo hakuna tini
-
Hapa nikucheka kwenda mbele πππππβ€β€ jamani we daa mweni.yaani unachochea motoππππβ€β€
-
π€£π€£π€£π€£π€£Oy ringo umetisha Sana we unajua unaupiga mwingi mno mpaka unakera
-
Duuh jaman mbavu zangu mieππππrongooooo umeua hatar eti nifundishe kutongoza nimecheka mpaka basi
-
Tin na Ringo hawa watu mb zangu kazima ziishe tu ππππ
-
πππππππππ Ringo shkamooooooo πππππππππππππ Unajuaa Me Sijawah Kukuchokaa Eti Mimi Msusii Wa Mwenee πππππππππππππππ
-
Nyie jamani yani nimecheka kama zuzuπππππππ
-
Ringo umehuwa π₯π₯π₯π₯bro kipaji bado unacho big up sana πͺπͺπͺπͺ
-
Hii ndiyo ya kwanza kwa comedy sizone UTANI β€β€β€β€
-
Woooow i like it yn had rahaaa ringo na tinwhite nawapenda sana mnafanya pow sana kaka zanguβ€π
-
Nawapenda sana,tin Ringo mkojan mwene na asha bojo
-
Ringo kazima ghafla kusikia..YOTEππ
-
Ringo unajuwa sana toka enzi unaitwa uchubo ktk sumileta ukaokota kopooβ€β€β€
-
Huyu ndio yule KIFOROKWINYO KINYANGARAKUTI........πππ
-
πππKama Umesikia mwana mzik anae Kohoaππ Like hapa
-
Napenda vixhekecho venuβ€