Tangu Uondoke Bwana

Published 2024-08-01
Mathayo 28:19-20
19 Basi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; 20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.

Tangu Bwana Yesu aondoke ni miaka 2000+ sasa imepita Mitume walijenga kanisa katika misingi ambayo Bwana Yesu alitoa maelekezo.
Lakina sasa watumishi wengi wa Mungu wameshusha viwango vya kanisa kwa kuingiza Dunia kanisa.

All Comments (6)