THE FAKE RECEIPT🤣🤣( Ukienda Kwa Hoteli Bila Pesa)

121,888
0
Published 2024-06-05

All Comments (21)
  • @pablostingo4337
    Kadusko akipost video before hata nijue Nini inaenda Ku happen huwa na like first.coz najuaga video zako ni moto kama jua ya janwari.
  • @karizerwillies
    Content ndio inakuanga kwa ulimi kama mate...yaani hkn ata kufikiria ....kadusko genius pure magic
  • @HANNINGTONSila
    Kadusko bro msihepe tena Kwanza kipindi yangu nangoja bro Ni kipindi ilinibamba sana inaitwa the crazy 🤣🤣 BLACKMAIL season 2 Bro ilete jooh nangoja najua itakua more fire 🔥 Usituweke sana na hio the crazy 🤣🤣 BLACKMAIL season 2 tuone when the table turns
  • @_Coxsandkings
    Kadusko , you are one of the best Comedian in Kenya 🇰🇪. I love ❤ your 💞 videos. Lost but found.
  • @lydiaokech3199
    Odundo alipeana kidney yake Kwa Lola najua saizi ako Na D'oh sna🤣🤣
  • @WellingtonKoros
    For the first time it has NOT ended in kadusko being caught 😂😂😂
  • @migilnyambura
    Bwana kadusko the very best actor 😂😂😂😂😂 kiherehere tamu❤ na upuz inabamba
  • @BonfaceOkanga
    Mamorio mumepotea sana,adi tumemiss comedies zenu vinoma tu sana yani❤
  • Aky pastor umenizoe vbaya kila siku na kulipia debt zako😂😂😂😂😂